` SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUNI 17,2025

SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUNI 17,2025


























Ikiwa unataka kuongezwa mshahara kazini, fuata hatua hizi chache

Hapa duniani sidhani kama kuna mfanyakazi anaweza kutosheka na kuridhika na mshahara ule ule kwa miaka nenda rudi, na hii ni kutokana kila mshahara unapoongezeka, matumizi nayo yanaongezeka tena kwa kiasi kikubwa.

Hiyo hufanya mfanyakazi kutumia tena ombi la mshahara, hata hivyo ni Mabosi wachache au Ofisi chache ambazo muda wote zipo tayari kwa kuongeza mshahara mfanyakazi wake.







Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464