` SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUNI 1,2025

SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUNI 1,2025





Bosi apandwa na hasira kisa kukataliwa na mfanyakazi wake

Naitwa Wini, naweza kusema kuwa itanichukua miaka mingi sana kuja kusahau kitendo cha Bosi wangu niliyekuwa namuheshimu sana alipoaniambia ili kupanda cheo kazini basi ni lazima nilale na angalau mara mbili.

Nilikataa mara moja kwani uwezo wa kazi ninao mzuri na isitoshe nimesoma vizuri na vyeti vya kitaaluma ninavyo. Nikajisema kimoyo moyo kama vipi nitaacha hii kazi akiendelea kunisumbua kuhusu jambo hilo.




Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464