Nyuma ya pazia jinsi watu wanavyotajirika kupitia betting
Sasa baada ya kubashiri kwa miaka mingi katika soka na kila wakati kupata ushindi hafifu ulionipatia fedha ndogo, nilifikia hatua ya kukata tamaa kwani niliona ni fedha zangu tu zinaenda kutajirisha wengine na mimi kuendelea kuwa masikini.

Nilianza hii kazi ya kubashiri katika soka toka mwaka 2010 nilipomaliza kidato cha sita lakini sikuwahi kushinda zaidi ya Sh100,000 (Laki Moja) lakini nikipiga hesabu fedha zangu ambazo nimezitumia ni zaidi ya Sh2.7 Milioni.