Header Ads Widget

WATOTO WATATU WAFARIKI KWA KUANGUKIWA NA NYUMBA KIJIJI CHA MISHEPO WILAYANI SHINYANGA

Watoto Watatu wafariki dunia kwa kuangukiwa na nyumba Mishepo

Na Marco Maduhu,SHINYANGA

Watoto Watatu wa Familia ya Mzee Ngassa Mataaluma katika Kijiji cha Mishepo wilayani Shinyanga, wamefariki dunia kwa kuangukiwa na nyumba kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha usiku wa kuamkia Leo.

Watoto hao ni Nkamba Ngassa (13), Salamu Ngassa (8) na Gigwa Ngassa (6) na mazishi yao yanafanyika leo.

Post a Comment

0 Comments