Header Ads Widget

UWT WAVUTIWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KATIKA MIRADI HALMASHAURI YA SHINYANGA


Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda akiwa na viongozi mara baada ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kukagua jengo jipya la Halmashauri ya Shinyanga.

Hospitali ya Wilaya ya Shinyanga
sehemu ya majengo ya hospitali ya Wilaya ya Shinyanga



Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda akishiriki shughuli za ujenzi
 
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda ameridhishwa na maendeleo ya ofisi mpya za CCM Wilaya ya Shinyanga Vijijini mara baada ya kukagua jengo hilo mapema leo ikiwa ni  muendelezo wa Ziara yake Mkoani Shinyanga.
Aidha Chatanda amemtaka Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga kuhimiza watumishi wa Chama wahamie kwa haraka mara baada ya kukamilika kwa Ofisi hiyo kwani watumishi wa Serikali wakishahamia na watumishi wa CCM inatakiwa wawepo na sio kujibana kwenye ofisi za Mkoa.

Ameyasema hayo mara baada ya ukaguzi wa Ofisi hizo za Chama zilizopo Wilaya ya Shinyanga Vijijini leo 

                                                         Mkutano unaendelea Kata ya Solwa
                                      Mwenyekiti wa UWT Taifa akikagua majengo ya Halmashauri ya Shinyanga baada ya kutembelea Halmashauri hiyo.


Post a Comment

0 Comments