Header Ads Widget

BABA WA KAMBO JELA KWA KUMUAMBUKIZA UKIMWI MTOTO WAKE WA KUFIKIA


Baba wa kambo jela kwa kumuambukiza mtoto Ukimwi kwa makusudiJumatano, Mei 31, 2023
Msirari Muhere (60) akitoka mahakamani baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka saba jela kufuatia kupatikana na kosa la kumuambukiza kwa makusudi ugonjwa wa ukimwi mtoto wake wa kufikia kwa kumchoma sindano yenye damu iliyo na virusi. Picha na Beldina Nyakeke.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mara imemhukumu kwenda jela miaka saba Mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na kosa la kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi kwa makusudi mtoto wake wa kambo kwa kumchoma na sindano yenye damu iliyo na virusi vya ugonjwa huo.

Musoma. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi.

Hukumu hiyo imetolewa mjini hapa leo Mei 31, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu mwenye mamlaka ya ziada ya kusikiliza mashauri ya Mahakama Kuu, Timoth Swai baada ya kuridhishwa na ushahidi uliowasilishwa mahakamani hapo.

Awali kesi hiyo..........

SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments