` MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AKABIDHI COMPUTER, PRINTER OLD SHINYANGA SEKONDARI

MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AKABIDHI COMPUTER, PRINTER OLD SHINYANGA SEKONDARI


Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba amekabidhi Kompyuta tano na Printer 1 katika Shule ya Sekondari Old Shinyanga ili kuongeza ufanisi katika ufundishaji wa masomo ya TEHAMA.



Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464