Header Ads Widget

MAISHA YA WAHDZABE WANAVYOKULA NYANI

Maisha ya Wahdzabe wanavyokula Nyani


 Jamii ya watu wa kabila la wahadzabe ni kabila linalopatikana Mkoa wa Arusha na Manyara ambapo asilimia kubwa wanapatikakana tarafa ya eyasi wilaya ya karatu katika Eyasi lakini jamii hii inaishi porini na wanaishi kwa kula matunda mibuyu nyama asali mizizi.


Kwa mujibu wa kiongozi wa jamii kabila hilo la wahadzabe akihojiwa na Ayo TV amesema zamani ilikuwa mtu akifariki walikuwa wanamuacha eneo wanaloishi nakuondoka na kisha baadaye kuliwa na fisi lakimi kwa sasa hivi wanazika kama kawaida.

SOMA HAPA ZAIDI ;CHANZO millardAyo.

Post a Comment

0 Comments