Header Ads Widget

AREJESHA CHETI CHUO KIKUU AKITAKA KURUDISHIWA KARO YAKE ALIYOLIPA


Jamaa Azua Kisanga Chuoni Akirejesha Digrii Yake Akitaka Arudishiwe Karo

 Katika video inayosambaa, jamaa huyo anaonyeshwa akizua kioja chuoni akirejesha cheti chake akitaka arudishiwe karo zote alizolipa kwa sababu ya kukosa kazi Anadai kuwa licha ya kuwa na shahada, anahangaika na cheti hicho ambacho hakijamletea manufaa yoyote ya kifedha tangu alipohitimu.

Alisema ana kipawa cha kutumbuiza hivyo ana uhakika kwamba iwapo atarejeshewa karo yake atawekeza kwenye kazi yake ya burudani MAKINIKA: Tusaidie kubadilisha maisha ya wengi, jiunge na programu ya Patreon kutoka TUKO.co.ke.

 Mwanamume mmoja alizua kisanga baada ya kujitosa katika chuo kikuu alikosomea kurudisha cheti chake na kutaka kurejeshewa karo yake. Jamaa Azua Kisanga Chuoni Akirejesha Digrii Yake Akitaka Arudishiwe Karo. 

                  SOMA HAPA ZAIDI-VITUKO NEWS SWAHILI


Post a Comment

0 Comments