Header Ads Widget

FURAHA YAGEUKA KARAHA KWENYE NDOA

 Furaha yageuka karaha kwenye ndoa

Watu wanapofikia kiwango cha kufunga ndoa huwa ni watu ambao tayari wamekaa kwa muda katika mahusiano na kuweza kufahamiana kwa kiasi fulani. Ama kweli ndoa vazi la stara.

 Katika mtaa mmoja kule Mtwara Tanzania alikuwepo mwanadada mmoja kwa jina Sabrina aliyekuwa ameolewa na mwanamume kwa jina la Shirima. Waliishi kwa furaha tele kwa muda mrefu sana bila misuguano ya hapa na pale. Kila siku mume wake akitoka kazini ilikuwa lazima angemletea vizawadi. Alipendeza sana na kunawiri kwani kila alichokitaka alikipata.

Baada ya muda Sabrina alipata uja uzito wa mume wake na hapo ndipo furaha iliongezeka hata zaidi kwani mumewe alitamani sana kujaaliwa mtoto. Ilipotimia miezi tisa, Sabrina alijifungua salama. Shirima alipopata habari kwamba mke wake amejifungua na tena mtoto wa kiume alipatwa na furaha isiyokifani. 

Alitoka ofisini mapema siku hiyo kwenda kumwona mkewe na malaika huyu mgeni. Alipofika hospitalini alimpata mkewe hana furaha kabisa, akashangaa inakuwaje kwamba kajifungua salama lakini hana furaha tena?

Alipofunua yule malaika kiumbe alipigwa na mshangao mkubwa sana na pale kuanza kuzua varangati kwa mkewe na kumuita malaya kwani alisema huyo hakuwa mwanawe. Masaibu yalianza pale ambapo familia iliyokuwa yenye furaha sana ilianza kuwa yenye majonzi mengi kila uchao. 

Lawama yote kutokana na hali ya mtoto ikamgeukia Sabrina asijue afanyeje. Ulikuwa ni wakati mgumu sana kwake Sabrina kwani alianza hata kupokea kichapo na matusi yasiyokwisha. Ilifikia kipindi ambapo Sabrina alifukuzwa na mumewe na hapo akarejea kwao kwani alnusura afe mikononi mwa mumewe.

Aliporejea nyumbani kwao wazazi hawakumwelewa kabisa kwani hawakuwahi kuona mtoto mwenye kichwa kikubwa kiasi kile. Baada ya siku kadhaa nao pia walianza kumwona kama mtu mwenye mkosi kwa jamii yao na kuwa wanamkashifu kwa tatizo ambalo hakujua chanzo chake kwa kweli. Sabrina alikaa kwa huzuni sana kila wakati asipate wa kumsaidia, kwani kila aliyesema nae alimuona mwenye kasoro.

Lakini kwa kweli Mungu hamwachi Mja wake. Siku moja alipokuwa akielekea kuteka maji kisimani,alikutana na baba mmoja mtu mzima ambaye aligundua lipo tatizo katika maisha yake. Sabrina alimueleza matatizo aliyokuwa akipitia na yule baba akamuelekeza kwa Kiwanga doctors alipowahi kuponea kisukari. Sabrina japo kishingo upande alikubali agizo la yule baba na kuandamana na mwanawe hadi kwa Kiwanga kule ambapo aligundua kuwa tatizo lake lilikuwa dogo sana. Alipewa dawa ambazo alitakiwa kumpa mwanawe kwa siku kumi na tano pekee.

Zilipopita zile siku akifuata maagizo ya yule daktari wa Kiwanga, kwa kweli kichwa kilirejea cha kawaida kama cha watoto wa rika lake na hapo Sabrina akarejea katika hali yake ya furaha, lakini akaapa kutorudi kwa mumewe kwani alimkataa wakati wa dhiki alipomhitaji zaidi. Ama kweli Kiwanga doctors ni sehemu ya manufaa na utulivu wa moyo.

Kiwanga doctors wanauwezo pia wa kutibu magonjwa kama vile saratani ya kibofu, Ugonjwa wa moyo miongoni mwa mengine. Vile vile wanatoa huduma kama vile kupata kazi, kusafisha nyota, kulinda mali na hata kumrejesha mpenzi aliyetoroka.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia +254 769404965,

E-mail:kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti www.kiwangadoctors.com.

Post a Comment

0 Comments