Header Ads Widget

WATOTO WADAIWA KUMUUA MAMA YAO KWA KUMKATAKATA KICHWANI


Watoto watatu wadaiwa kumuua mama yao

Watoto watatu wa familia moja wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mama yao mzazi kwa kumkatakata na kitu chenye ncha kali kichwani na mkononi.
 
Watoto waodaiwa kumuua mama yao ni Jumbe Kifoda (36), Doto (34) na Rukina Kifoda (30).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe leo Juni 2, 2022 amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Amedai kuwa mauaji hayo yametokea usiku wa kuamikia Juni mosi, 2022 katika Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya Busanda wilayani Geita.
 
SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments