Header Ads Widget

SOKO LA KARUME LAUNGUA MOTO TENA

Vibanda 36 vimeteketea katika Soko la Kurume lililopo Dar es Salaam baada ya moto kuunguza sehemu ya soko hilo.

Muto huo umeanza leo Ijumaa Aprili 8, 2022 alfajiri na kuunguza maduka ya wafanyabiashara ndogondogo wanaouza mabegi.

Jumapili Januari 16, 2022 Soko la Karume (soko la mchikichini) liliteketea moto na kuharibu mali mbalimbali ikiwamo miundombinu ya umeme.
 
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments