Header Ads Widget

SHINYANGA WAADHIMISHA MIAKA 58 YA MUUNGANO KWA KUPANDA MITI 1,500 HOSPITALI YA RUFANI MKOANI SHINYANGA

Shinyanga waadhimisha miaka 58 ya muungano kwa kupanda Miti 1,500 Hospitali ya Rufani mkoani Shinyanga.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, akipanda Mti katika Hospitali ya Rufani mkoani Shinyanga

Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA

SERIKALI mkoani Shinyanga, imeadhimisha sherehe ya miaka 58 ya Muungano kwa kupanda miti 1,500 na kufanya usafi katika Hospitali ya Rufani mkoani Shinyanga.

Zoezi hilo limefanyika leo Aprili 26, 2022 ikiwa ni siku ya maadhimisho ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, sherehe ambayo kitaifa inafanyika Jijini Dodoma makao makuu ya nchi.

Upandaji miti huo umeongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, na umehusisha pia wananchi zaidi ya 1,000, pamoja na vyombo vya dola .
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, akipanda Mti katika Hospitali ya Rufani mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, akifyeka majani kwa ajili ya kufanya usafi katika Hospitali ya Rufani mkoani Shinyanga.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Zuwena Omary akipanda Mti katika Hospitali ya Rufani mkoani Shinyanga.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, akipanda Mti katika Hospitali ya Rufani mkoani Shinyanga.

Viongozi wakiendelea na zoezi la upandaji Miti.

Zoezi la upandaji Miti likiendelea.

Zoezi la upandaji Miti likiendelea.

Zoezi la upandaji Miti likiendelea.

Post a Comment

0 Comments