Header Ads Widget

POLISI, MAHABUSU WAFARIKI KWA AJALI MWANZA

POLISI, MAHABUSU WAFARIKI KWA AJALI MWANZA.

ajalipiic
Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-MwanzaKamanda wa Polisi mkoa wa Geita,Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
 
SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments