Header Ads Widget

HIZI HAPA NGOs 29 ZILIZOFUTIWA USAJILI, SERIKALI YATAJA SABABU

SERIKALI YAZIFUTIA USAJILI NGOs 29
Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha umma kuwa imefuta NGOs 29 kuanzialeo Aprili 22,2022 kama ifuatavyo.

Post a Comment

0 Comments