Header Ads Widget

UVCCM SHINYANGA WAAHIRISHA KONGAMANO LA UJASIRIAMALI KISA CORONA

 
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga Baraka Shemahonge


SOMA HAPA CHINI BARUA YAO👇👇



YAHUSU KUAHIRISHWA KWA KONGAMANO LA FURSA ZA VIJANA WAJASILIAMALI NA UWEKEZAJI

Ofisi ya UVCCM wilaya ya Shinyanga Mjini inapenda kuwajulisha kuwa KONGAMANO LA FURSA ZA VIJANA WAJASIRIAMALI NA UWEKEZAJI Lililokuwa linameandaliwa na Ofisi ya UVCCM Mkoa wa Shinyanga tarehe 28/07/2021 katika Ukumbi wa CCM mkoa (NSSF ya zamani) limeahirishwa hii ni kutokana na Ugonjwa hatari wa Covid 19. 

 Ofisi inawaomba radhi vijana,wajasiriamali,wafanyabiashara na makundi yote yaliyokuwa yamejiandaa kushiriki kongamano hilo kwa usumbufu uliyojitokeza/utakaojitokeza na zaidi tuendelee kuchukua tahadhari na mazingatio yote yanatolewa na widhara ya Afya juu ya Ugonjwa huu wa Covid 19 ikiwa ni sambamba na kusitisha mikusanyiko yote isiyokuwa na lazima. ASANTENI


Imetolewa na;-

Erick Elisha

K/Katibu Uvccm(W)

SHINYANGA MJINI

Post a Comment

0 Comments