Header Ads Widget

CEO SIMBA AELEZA HATMA YA MKUDE, MORRISON

Kiungo Mkabaji wa Simba SC, Jonas Mkude

“Kesi ya Jonas Mkude ipo kwenye kamati ya nidhamu na ile kamati ilikaa bado inaendelea kufanya uchambuzi na kesho Jonas anakaa na kamati kusikiliza kesi yake na wao watatoa mapendekezo kwa Menejimenti, tutayapokea, tutayatatua halafu tutaamua hii sawa au sio sawa halafu tutaendelea,” amesema CEO Barbara (Millardayo.com)

"Bernard Morrison hana matatizo yoyote ya kiafya alikuwa anaumwa kidogo mwezi Disemba na sasa yuko fiti na kesho ataanza mazoezi na wenzake kujiandaa na michuano ya Simba Super Cup," Barbara Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba (Boiplusmedia).
TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807