Header Ads Widget

MWINYI AHITIMISHA KAMPENI ZAKE ZA URAIS ZANZIBAR, MAMA SAMIA, KIKWETE WAMSINDIKIZA



MWINYI DAY 28: Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi zimefungwa rasmi Leo Jumapili Oktoba 25, 2020 kwenye Viwanja Vya Kibanda Maiti na Mgombea huyo makini na mzoefu mkubwa kabisa amepata nafasi ya kuhutubia Kwenye Mkutano wake huo wa Mwisho wa Kampeni na haya ndiyo aliyoyaongea Kwenye Kufunga Kampeni hizo. Zanzibar iko tayali na Dkt Mwinyi na mitambo imeshatiki inasubili tu Oktoba 28.
#YajayoniNeematupu
#Mwinyi2020




Post a Comment

0 Comments