Header Ads Widget

PICHA: SIMBA SC YAPOKELEWA KISHUJAA DAR



Baada ya jana kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam kwa kuifunga Namungo FC kwa mabao 2_1 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, leo Agosti 3, 2020 Wekundu hao wa Msimbazi wamewasili jijini Dar es Salaam na kulakiwa na maelfu ya mashabiki wao.

TAZAMA PICHA