Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeahirisha mikutano yake ya chama, ikiwemo mkutano mkuu wa kumchagua mgombea wa kiti cha Urais, ili kuomboleza kifo cha Rais wa awamu ya tatu Marehemu Benjamin Mkapa.
Copyright (c) 2022 SHINYANGA PRESS CLUB BLOG All Right Reserved