Header Ads Widget

WAZIRI NAPE ATEMBELEA BANDA LA MISA-TAN MAADHIMISHO UHURU WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisoma kipeperushi katika banda la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania (MISA-TAN) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania (MISA-TAN) Bi. Salome Kitomari akielezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na MISA - TAN. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisoma kipeperushi katika banda la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania (MISA-TAN) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha. Wa kwanza kulia ni Afisa Habari na Utafiti wa MISA TAN, Bi. Neema Kasabuliro

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akifurahia jambo katika banda la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania (MISA-TAN) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua Maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ikiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa MISA-TAN Bi. Salome Kitomari akielezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na MISA - TAN. Wa kwanza kulia ni Afisa Habari na Utafiti wa MISA TAN, Bi. Neema Kasabuliro

Kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania (MISA-TAN) Bi. Salome Kitomari akielezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na MISA - TAN kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kushoto).







Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akifurahia jambo katika banda la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania (MISA-TAN) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ikiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kitaifa Mei 3,2022 jijini Arusha.

Post a Comment

0 Comments