Header Ads Widget

DK. EMMANUEL NCHIMBI ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU MPYA WA CCM

Emmanuel Nchimbi Amerithi Mikoba ya Daniel Chongolo aliyebwaga manyanga kwa kujiuzulu wadhifa huo hivi karibuni.

Chongolo alijiuzulu kwa kile alichodai ni kuchafuliwa kwenye mitandao ya kijamii.

Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoketi leo Januari 15, 2024 Mjini Unguja Zanzibar, kimemteuwa Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM.

Dk. Emmanuel Nchimbi alikuwa Balozi wa Tanzania Nchini Misri.

Post a Comment

1 Comments