Header Ads Widget

MWANAFUNZI AMUANDIKIA BARUA MKUU WA SHULE YA KUKATAA SHULE

Mwanafunzi Taufiq Salum Hamis ambaye anasoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Msimbati iliyopo katika Wilaya ya Mtwara Mkoani Mtwara.

Amemuandikia barua Mkuu wa Shule hiyo, Hamis Sadala ya kukataa Shule huku akisema hana nia mbaya na wala hajashinikizwa na Mtu.
 
SOMA ZAIDI HAPA ;CHANZO MILLARD AYO

TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807